hapa wanakutundika shaba hawajamaa; wanatumia siraha ovyoJapo sijaona ila kwa maelezo yako usijaribu mkuu[emoji3][emoji3][emoji3] Hapo ni Kenya
Utapigwa hapa kipigo cha mbwa koko
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.
Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.
View attachment 2682386
*/-☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya machozi, kisha na wao wanayaokota na kuwarushia polisi na baadae polisi wanakimbia lina maana gani wadau?.
Ndugu zangu watanzania nadhani tusije fika huko pale inapowezekana
Upumbavu mtupu.Unavyosifia utadhani ni sifa kufanya vurugu.
Wewe unaweza?Watanzani waoga hawawezi kufanya hivi hata siku moja🤣🤣
Mimi MkenyaWewe unaweza?
Sijakuuliza wewe nani, nimekuuliza we unaweza?Mimi Mkenya
ahah unyama sanaHahaha huwa wanayokota wanasoma label na kusema “mabomu yenyewe yameexpire next mlete mabomu real” huku wakiimba tumechoka tear gas tunataka bomu …
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.
Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.
View attachment 2682386
☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya machozi, kisha na wao wanayaokota na kuwarushia polisi na baadae polisi wanakimbia lina maana gani wadau?
Ndugu zangu watanzania nadhani tusije fika huko pale inapowezekana 😄!
Hao jamaa ni jaluo nini 😂😂😂tumechoka tear gas tunataka bomu …