Maisha ya kuigaiga tu....Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya majimbo masikini zaidi huko Marekani. Tanzania hata haipo kwenye list kwa sababu Gdp yenu ni ndogo sana. Tulieni tutaunda list yenu baadaye.
Hii simplistic mindset ndio inayotumaliza sisi Waafrika. Kwamba bora umekula na kushiba na kuenda choo umetosheka na wala hutaki kufikiria na kuvumbua vitu vipya au teknolojia mpya.Maisha ya kuigaiga tu....
Unawezaje kulinganisha maisha ya mabeberu wanaoendesha kuitawala dunia na sisi waafrika?!!!
Kwani umesikia Tanzania Ina janga la njaa kutokana na ukame Kama uliotangazwa na mh.Rais Uhuru Kenyatta?!!!!
Amani yetu....
Utulivu wetu....
Mazao na kilimo chetu....
KINATUTOSHA VYEMA TU WALA HATUNA HAJA YA KWENDA KUISHI SAYARI YA MARS.....💪
Kwa hiyo waafrika hawazindui vitu vipya kwa ajili ya maisha yao?!!Hii simplistic mindset ndio inayotumaliza sisi Waafrika. Kwamba bora umekula na kushiba na kuenda choo umetosheka na wala hutaki kufikiria na kuvumbua vitu vipya au teknolojia mpya.
Nyorosha kiyatu na paka kiwi kama mjadala.Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya majimbo masikini zaidi huko Marekani. Tanzania hata haipo kwenye list kwa sababu Gdp yenu ni ndogo sana. Tulieni tutaunda list yenu baadaye.
GDP ya California inaipiga Africa yote GDP combinedUlinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya majimbo masikini zaidi huko Marekani. Tanzania hata haipo kwenye list kwa sababu Gdp yenu ni ndogo sana. Tulieni tutaunda list yenu baadaye.
Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya majimbo masikini zaidi huko Marekani. Tanzania hata haipo kwenye list kwa sababu Gdp yenu ni ndogo sana. Tulieni tutaunda list yenu baadaye.
Sio mimi nimeunda hio table. Ni wazungu wenyewe wametengeneza hio table. Mimi nimepost tu. Kwa hivyo unamaanisha kwamba wazungu hawapo serious kulinganisha uchumi wa Marekani na wa Afrika?dah!
mkuu uko serious kabisa unalinganisha uchumi wa Marekani na huu wetu huku Africa?
anyways ndio maana ni kawaida kulinganisha demokrasia na uchaguzi wa Marekani na chaguzi za hapa Africa.
of course!Sio mimi nimeunda hio table. Ni wazungu wenyewe wametengeneza hio table. Mimi nimepost tu. Kwa hivyo unamaanisha kwamba wazungu hawapo serious kulinganisha uchumi wa Marekani na wa Afrika?
Hizo NI dalili za mimba changa, chuki , husda, kisirani.Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya majimbo masikini zaidi huko Marekani. Tanzania hata haipo kwenye list kwa sababu Gdp yenu ni ndogo sana. Tulieni tutaunda list yenu baadaye.
Nimecheka hiyo sayari ya Mars[emoji38][emoji38][emoji1241][emoji3590][emoji169][emoji172]Maisha ya kuigaiga tu....
Unawezaje kulinganisha maisha ya mabeberu wanaoendesha kuitawala dunia na sisi waafrika?!!!
Kwani umesikia Tanzania Ina janga la njaa kutokana na ukame Kama uliotangazwa na mh.Rais Uhuru Kenyatta?!!!!
Amani yetu....
Utulivu wetu....
Mazao na kilimo chetu....
KINATUTOSHA VYEMA TU WALA HATUNA HAJA YA KWENDA KUISHI SAYARI YA MARS.....[emoji123]