johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acheni kushabikia mambo ya wenzenu, huku kwetu nani anapambania mambo yetuSasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa
Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu
Nimeogopa sana 🐼
Labda na yeye......kenge kiziwi.....!!Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa
Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu
Nimeogopa sana 🐼
Kwetu kuna nini? 🐼Acheni kushabikia mambo ya wenzenu, huku kwetu nani anapambania mambo yetu
thubutu! Sio kwa wale vijana ambao mihadarati ilishaharibu kichwa ataondokaLabda na yeye......kenge kiziwi.....!!
.
Kushabia ya Kenya ni njia nzuri sana ya kufungua vichwa vya watanzania. Hata CCM wakiona tunatajataja sana ya Kenya na kushangilia wanapatwa hofu kuu.Acheni kushabikia mambo ya wenzenu, huku kwetu nani anapambania mambo yetu
Raia tunakunywa asali na maziwa, mkate wa blue band, na ugali nyama choma mkuuKwetu kuna nini? 🐼
Sawa mufa mwalim.mkuu.....tutaona yote mwaka huuu....madai yao.mengi ni mtambuka hata akija nani sio ya miaka 1 au 2.....safari ndefu sana meet demand zao plus employmentthubutu! Sio kwa wale vijana ambao mihadarati ilishaharibu kichwa ataondoka
Vijana kwa kula miraa,bangi na Mongokathubutu! Sio kwa wale vijana ambao mihadarati ilishaharibu kichwa ataondoka
Hahahah lakini wanajielewa wanataka nini wamechoka Sana vijana wakati jana nilileta taarifa ya mbunge kuchomewa jumba lake na kuku zaidi ya elf10 na magari ndipo nilipoona Hawa vijana ni hatari sanaVijana kwa kula miraa,bangi na Mongoka
Kwa hali ilivyo utatimia soon.je unabii utatimia? Ngoja tumuachie muda
Hata chura wa katavi hana uwezo wa kuongoza ajiuzulu kabisaSasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa
Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu
Nimeogopa sana 🐼
Huyo Jamaa ni Chawa wa Mama akiwa huku Nyumbani lakini akiwa huko anaunga mkono Gez Z😆Acheni kushabikia mambo ya wenzenu, huku kwetu nani anapambania mambo yetu