Kwan si mmeekewa video kule juu!!?
Usitake niamin km wala bangh bro.
Hizo viwanda vidogo vidogo kule vijijini wanaita mashine,Umeadilisha gear tena...sai imekua mashine tunazo lkn ni zianasaga unga mchafu[emoji1787][emoji1787]
Duh!!bongo mmechanganywa sana na zile show za wanasiasa wenu majukwaani
Hizo viwanda vidogo vidogo kule vijijini wanaita mashine,
Utakuta zimeandikwa mashine ya kusaga na kukoboa,
Afadhali wanasiasa wetu kuliko hao tangatanga wenu.
Amini vyvyote vile...lkn ukwel inatakiwa unaleta hospitali pamoja na vifaa vyake
We endelea kutapa tapa tu..ile siku unga utapungua bei rudi hapa upige domo
Hizo viwanda vidogo vidogo kule vijijini wanaita mashine,
Utakuta zimeandikwa mashine ya kusaga na kukoboa,
Afadhali wanasiasa wetu kuliko hao tangatanga wenu.
Heheeee[emoji1787][emoji1787]naona umepata pa kutokea ndio manake unauliza swali haraka haraka ndio tupotezee mada ya unga..
Mada ni unga tz 160
Kenya 130
Kwan kule juu video hukuziona.
Yan video inaonesha watu wanaopatiwa matibabu utasemaje vifaa hamna?
Duh asee hii kweli Kenya
Unga gani tz ni 3000 kilo mbona muongo wewe??
Huu uongo umeutolea wap
Umeadilisha gear tena...sai imekua mashine tunazo lkn ni zianasaga unga mchafu[emoji1787][emoji1787]
Duh!!bongo mmechanganywa sana na zile show za wanasiasa wenu majukwaani
Wacha kudandia mada..rudi juu ukasome vizuri hzo post
Wewe bado hujaumwa au kuuguliwa na ndugu yako wa karibu kisawasawa. Siku yakikuta atatamani kwenda popote kusaka tiba.Taita Taveta referral county hospital
Hawa hu-cross border kuja Kilimanjaro kutibiwa! sishangai kama referral hospitals zipo hivi Kenya! In Tanzania referral hospitals are well respected!
Wewe hauna tofauti na gari mbovu.We endelea kutapa tapa tu..ile siku unga utapungua bei rudi hapa upige domo
Wewe hauna tofauti na gari bovuKweli kabisa...hawa hapa, wako vizuri sanaView attachment 1252023
Umeona hizo hospitali? Zina hadhi nzuri sasa huku Tzn hospitali za wilaya zina vimajengo kama zahanati au health centreGatundu district hospitalView attachment 1251449
Imekuingia hyoWewe hauna tofauti na gari bovu
Basi msifananishe kwenu na kwetu.
Kwetu tuna mashine za kukobolea na kusagia unga ulio safi kwaajili ya matumiz ya binadam.
Usifosi tufanane.
160 ksh sawasawa na shingap ya kitanzania???
Nijibu.
Wewe hauna tofauti na gari mbovu.
Gari bovu lililopaki haliwezi nisumbua.Imekuingia hyo