1,500 Ksh. sio Tsh. πππKweli hakuna middle class lakin at least hatushindwi kulipa treni ya 1500 nyinyi mmepandishiwa Bei kidogo ndani ya miezi miwili 62000 passengers wamepungua baada ya miezi SI mtapunguza milioni kabisa
this is not a normal Kenyan PSV.source yako dog mutua kishawahi kufika TZ?
acha ujinga basi.Hii ni shida kubwa ina maana karne hii bado watu wanasafiri pamoja na wanyama ??
Haha mmepandishiwa hip tu mmekimbia hiyo ksh ni sawa na 31000tzs check kwa hiyo Bei ambayo mmeshindwa wenzen ziko full booked mpaka juma tatu1,500 Ksh. sio Tsh. πππ
hio ingekua Tanzania, hakuna hata mtu mmoja angepanda bureti treni.
sasa hapo inasema 'no seats available' halafu abiria karibu wote wanashukia Pugu, treni inaenda kitupu ππ. abiria wa 'buku' ππHaha mmepandishiwa hip tu mmekimbia hiyo ksh ni sawa na 31000tzs check kwa hiyo Bei ambayo mmeshindwa wenzen ziko full booked mpaka juma tatu
Hapo Kuna royal class 90,000 sawa ksh 4285
Business class 70,000 sawa na 3300ksh
Then economy ya 40000 tsh na 31000 ambazo nazo ziko full booked haya leta chat ya kwenu
Express train haisimami pugu na hata ukitaka luprove kuwa ziko full booked request pugu moro uone kama utapata nafasisasa hapo inasema 'no seats available' halafu abiria karibu wote wanashukia Pugu, treni inaenda kitupu ππ. abiria wa 'buku' π
mbwembwe tu hizo... muda ndio utakao amuaExpress train haisimami pugu na hata ukitaka luprove kuwa ziko full booked request pugu moro uone kama utapata nafasi
gazeti la serikali hilo ππLeta link inayofunguka na hata kwa kuangalia aliyepost ni mkenya mwenzenu
Nllmbwembwe tu hizo... muda ndio utakao amua
sasa kwanini mbona unawashwawashwa?Haha walau mngekuwa ingekuwa sgr kenya inaendeshwa na wakenya kwa hundred percent lakin mpaka Leo miaka kumi Bado Iko chini
Nll
Hiyo inajulisha Tanzania ni nchi yenye purchasing power.hamuna middle class. Tanzania ni nchi ya wanyonge ππ.
ππππHuyu makalio toka lini express ikashusha Pugu!???Express train haisimami pugu na hata ukitaka luprove kuwa ziko full booked request pugu moro uone kama utapata nafasi
Assumed 90 % after how 10 years then compare na tz ambayo 100% after zero yearssasa kwanini mbona unawashwawashwa?
View attachment 3078107
Anahangaika tu tutafika naeππππHuyu makalio toka lini express ikashusha Pugu!???
kwa distance ipi?? unajua we jamaa unabweka tu kama mbwa koko without evidence.economy class ni kesh 650.
Ninyi economy ni kesh 1300+.
ππππππππMnaishi maisha gani ninyi jamaa ya bei ghali yasiyo na ubora!??
...ambayo inaenda kufa kifo cha mende hivi karibuni ππAssumed 90 % after how 10 years then compare na tz ambayo 100% after zero years
Yaan mamburura ya Kenya miaka kumi mnaendeshewa treni na mchina unataka kulinganisha na tz ambayo
wenzako kina coodip1, Kamongo na KOMANDO YOSO walioga mikono πππAnahangaika tu tutafika nae
Maybe uliwaokota ila kwangu utachemka naijua Kenya nje ndani