Hii ni massive investment kwa Kenya. Viongozi wetu Tanzania changamkeni,South Sudan!
ful msisimko!!!President Mwai Kibaki (R) welcomes the German Chancellor Angela Merkel at State House, Nairobi during her official visit to Kenya
Wenzetu wamekuwa tayari kutumia fursa ya uhuru wa sudan ya kusini kunufaika kisiasa,sijui Jk Yeye alipokwenda aliongelea lolote kwa manufaa yetu? I believe hata sisi tukiwa wajanja twaweza kujipatia fursa ya kiuchumi...NAWAONEA WIVU WA KENYA,Kwa kweli wako so aggressive when it comes to opportunities...hata namna wanavyodili na masuala ya ufisadi wako so transparent na level ya accountability iko juu sana kwao...
Economic Inteligence ndio inayotamalaki duniani hivi sasa,wanaojua kuitumia kama wenzetu wakenya watatuacha mbali sana na hilo halina mjadala.Sie Tanzania tumekalia tu military inteligence ya kuwalinda viongozi wetu ilihali uchumi unaporwa,fursa za maendeleo hazitumiki na zinatumika kwa wengine,south sudan ilikuwa ni fursa nzuri kuitumia,lakini viongozi wetu wamebaki kushangaa na kwenda kupiga picha tu na Rais sava kiir,shame on them!
South Sudan has potential to provide oil at competitive price to East Africa countries ,Indeed its time we actively sourced our fuel supply from SS instead of halfway across the world.Mbona South Sudan iko mbali sana .....