Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru.

Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara kuhusu maandamano aliopigwa risasi mbili kwenye mguu wake wa kushoto.
 

Attachments

  • 20240716_163918.jpg
    20240716_163918.jpg
    162.7 KB · Views: 4
Yaani habari za matukio ya maandamano yamechukua uwanda mpana sana, kwanini?
 
Back
Top Bottom