M mdau wetu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 548 Reaction score 61 Jul 14, 2011 #1 Wabunge nchini Kenya wametaka serikali itoe maelezo kuhusu kinga wanayopewa wanajeshi wa Uingereza na Marekani wakiwa nchini Kenya pamoja na uhuru walionao kuingia taasisi za usalama nchini humo.......http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=article&id=18731:
Wabunge nchini Kenya wametaka serikali itoe maelezo kuhusu kinga wanayopewa wanajeshi wa Uingereza na Marekani wakiwa nchini Kenya pamoja na uhuru walionao kuingia taasisi za usalama nchini humo.......http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=article&id=18731:
M Mzee2000 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2009 Posts 528 Reaction score 221 Jul 14, 2011 #2 Sijui Kwanini nyangau anaruhusu wamarekani nchini kwake Nasikia wamesha baka sana na kesi jinsi.
MpigaKura JF-Expert Member Joined Jan 25, 2007 Posts 384 Reaction score 101 Jul 14, 2011 #3 Safi sana MP's wa Kenya, sio hapa kwetu kila kitu "Ndiyo mzee".