Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Nov 13, 2022 #41 "too weak"
blackberry m JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 563 Reaction score 414 Nov 13, 2022 #42 Maumivu ya kichwa huanza pole pole. Ndivyo ndugu zetu Wa UDA wanavyoanza ila wamesahau kuwa wameanza mapema zaidi kuliko ilivyokuwa hapa jamhuri ya danganyika. Wao wameanza kuonesha makucha mapema sana ila yote kwa yote watafeli tu.
Maumivu ya kichwa huanza pole pole. Ndivyo ndugu zetu Wa UDA wanavyoanza ila wamesahau kuwa wameanza mapema zaidi kuliko ilivyokuwa hapa jamhuri ya danganyika. Wao wameanza kuonesha makucha mapema sana ila yote kwa yote watafeli tu.
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 4,236 Reaction score 5,907 Nov 13, 2022 #43 Wamshilikishe vyema MUNGU mbona sisi tuliweza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 13, 2022 #44 Siasa ndivyo zilivyo, zimejaa uroho na uchu...