Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa haya maswali yako unatuaibisha watanzania hapa labda kama umri wako ni chini ya 18 utaeleweka. Ila kama umezidi hapo hata wanaokusapoti hapa watakuwa wanaona aibu
 
Kwa haya maswali yako unatuaibisha watanzania hapa labda kama umri wako ni chini ya 18 utaeleweka. Ila kama umezidi hapo hata wanaokusapoti hapa watakuwa wanaona aibu
Ndugu kwanini usiendelee na mambo yako? Wewe unauhuru wako na mimi nipo na wakwangu. Nimekuambia ulete references. Umebaki kubwabwaja na kukenua kenua meno kama kichaa.
 
Ndugu kwanini usiendelee na mambo yako? Wewe unauhuru wako na mimi nipo na wakwangu. Nimekuambia ulete references. Umebaki kubwabwaja na kukenua kenua meno kama kichaa.
Mimi na wewe nani kichaa? Soma hayo maswali uliyouliza uyatafakari vizuri, kama ww siyo kichaa najua utayafuta. Ukiyaacha utathibitisha hoja yangu.
 
National Fibre Optic Cable network (NICTBB)

TTCL Internet 4.5G in Dar es salaam
 
Linganisha na Mombasa bana haina haja kutumalizia wakati! Edit uzi iwe Dar vs Mombasa
 
Hakuna haja kumaliza wakati! Challenge the challengeable !
Huna cha ku challenge wewe zaidi ya kutoa maneno maneno tu. Wewe weka references hapa. Zaidi ya hapo utakuwa unaongea ongea tu na kujipa sifa za kitoto.
 
Mi mbongo chifu najivunia sana kuwa mbongo. Ukisoma vizuri nilichoandika ni kuwa tulinganishe kiuhalisia si kishabiki.. Sijaponda bongo yangu nimesema maghorofa yanapanda kwa kasi ambayo haiendani na miundombinu kama barabara na reli.. Sasa hapo upondaji uko wapi chifu?
 
Sijakataa tenda na mipango mikakati endelevu iko mingi sana Bongo (, kama ilivyo Nairobi)., nimeongelea vitu vilivyopo sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…