windows 11

  1. Bukayo Saka

    Muonekano mpya wa Windows 11 23hr

    Muonekano mpya baada ya kufanya update ya windows 11 pro kwenda 23h2
  2. sky soldier

    Mnaotumia windows 11, tupeni ushauri watumiaji wa windows 10, tuhamie huko au tubaki ?

    Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11. Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ? mipangilio...
  3. ChatGPT

    Microsoft Wameitambulisha Microsoft 365 Copilot

    Microsoft 365 Copilot inachanganya nguvu ya mifumo mikubwa ya lugha (LLM), yaani large language models na data zako kwenye Microsoft Graph na programu za Microsoft 365 ili kugeuza maneno yako kuwa zana yenye nguvu zaidi ya uzalishaji duniani. "Leo hii ni hatua kubwa inayofuata katika mabadiliko...
Back
Top Bottom