Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali
Mwingine kaandika hivi
"May I please ask for your help on who we can email or call to check on the evisa portal? We are trying to access the website but...
Ninaye rafiki yangu ame download dating website templates sio app, sasa anahitaji mtu wa kumsadia kufanya installation maana tayari amesha sajili domain name na hosting ameshalipia. Just installing templates na kuweka majina. Pls njoo dm kama unaweza kazi hiyo uje na bei yako. Usije bila bei.
1. Website ya biashara/kampuni: Tsh 370,000
-Inakuwa tayari ndani ya wiki mbili.
Free domain name (.com .org .co .io)
10 Business emails (mfano: info @ biasharayako . com)
Free SSL certificate
Up to 50GB storage
Unlimited bandwith
Up to 3 subdomains: mfano 👇
Domain: www . biasharayako . com...
Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo kuna kua na shambulio la DDoS katika website
Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu.
Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
Habari, Kisali na seu marketing and entertainment tunatengeneza website za kwa makampuni, tahasisi na biashara mbalimbali tupo Goba, Dar es salaam tutakusaidia pia kuongoza website yako kwa mwaka mmoja. Mbali na huduma ya website tunafanya graphics and design aina zote kama vile kutengeneza...
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own!
📲 +255 657 685 268
🔥 Powerful Features Included:
✔ Instant Payments & Downloads –...
app
bitcoin
digital
digital files
ebooks
file
forex
mobile money
moja
mpesa
online
online business
online money
pdf
sell online
side business
side hustle
uza
website
wengi
Wakuu, nimeshindwa kutatua changamoto ya kijana hapa.
Chrome app yake anatumie internet ya vodacom, lakini tangu jana akiingia chrome haifunguki kila website, lakini akiswitch internet akiweka ya Yas, website zote zinafunguka na chrome inafunction vizuri tu kama kawaida, ila akiswitch to...
Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho...
Unahitaji content(maudhui) inayovutia, yenye uhalisia, na inayobadilisha wasomaji kuwa wateja? Iwe kwa ajili ya blog/ website yako, product descriptions, email marketing, business documents, video scripts, au social media posts!
Tuna uzoefu wa kuandika makala, blog posts, SEO content, na hata...
💥OFFER-OFFER-OFFER💥
NetFasta.Com - Stress-Free Web Hosting
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 150,000 Tu! 💥 Kwa Kifurushi Chochote Utakacho Chagua Na Utapata Ofa Hizi:
1️⃣ Utapata Domain Ya .Com Bure
2️⃣ Tuta-Design Website Yako 1 Bure
3️⃣ Kama Una Website Ziko Kwenye Hosting Nyingine...
Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
Habari wakuu,
Ni jambo la kushangaza mtu anahack website yetu anaanza kufuta vitu vyetu.
Sio uungwana kabisa lakini tuna mshukuru sana ametuongezea uwezo wa ziada na leo tunatangaza kwamba tutaanza kutoa huduma ya cyber security.
Habari wataalamu.
Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu.
Je nini tatizo? na Suluhisho?
Ahsante sana kwa msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.