Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni.
Wafanyakazi wengine waliingilia kati ugomvi baada ya kusikia kelele ambapo waliamua kuwatenganisha vyumba...