Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18 katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Mwisho wa Ibada hiyo Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi Ludovic Joseph Minde alimpa nafasi Kadinali Pengo kutoa salamu na...
Mpo salama!
Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo.
Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine.
Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi
ila Wachagga na Waigbo...
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa ninaposoma Makala ya historia basi huenda kwenye kazi zangu zilizopita na kuangalia nini nimeandika.
Ndugu yangu Abdulkarim Ally ameandika makala (haipo hapa) iliyonivutia sana kuhusu siasa za Uchaggani wakati wa ukoloni.
Imesadif kuwa mimi nilitafiti na...
"Kwa Mila zetu Wachagga ni kwamba Mwanamke yoyote yule wa Kichagga akiolewa licha ya Kumzalia Watoto huyo Mumewe lakini pia anatakiwa Kuchanganya Damu ( Kuzaa Mtoto wa Nje ya Ndoa ) ili ikitokea hawa Watoto aliozaa na Mumewe wa Ndoa wamepatwa na Janga baya la Ugonjwa basi kuwepo na Mtoto...
Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa uongozi.
Mojawapo ya tawala ilikuwa ni dola ya wachagga (Chagga state). Dola hiii ilikuwa na Kiongozi Mmoja aliyeitwa Mangi Mkuu
Mangi mkuu aliteua Mamangi wadogo...
Kitabu hiki kizuri sana. Kina mengi ya kujifunza yenye msaada hata leo.
Kimetungwa na S. J. Ntiro
Kuchapwa 1953.
Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPM Kuungwa.
DIBAJI YA WATOAJI KITABU
Juzi juzi mtaalamu mmoja wa mambo ya Afrika aliandika:
"Bila mikusanyo mingi ya hakika ya mambo ya...
Paa la Afrika.
Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika yote hayo niliyosikia au kuona kwenye picha hakukuwepo lolote lililoniacha nisiweze kupigwa na butwaa...
Ukisoma kitabu Desturi za Wachagga utaelewa kwa nini Wachagga wako mbele kuliko makabila mengi ya Tz. Kwanza kitu kikubwa sana kilichowatoa ni kupanda kahawa na kuwa na hiki chama Kilimanjaro Native Cooperative Union(KNCU) kama chama kikuu cha ushirika. Chama hiki kiliongozwa na mzungu kwa...
Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe.
MLANGO WA 5
ASILI YA WACHAGGA
Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya yameingia katika nchi ya Kilimanjaro katika nyakati tofauti. Makabila mengi yameingia Kilimanjaro...
Niko Moshi mida hii, aiseee wachagga wanajua kula Bata. Na pia Wana mshikamano na upendo. Huku ni chupa juu ya chupa. Mbuzi hadi nawaonea huruma, halafu utaratibu ni ule ule kila nyumba.
Hii ikanikumbusha juu ya uaminifu walionao ndugu zetu kutoka milimani Kilimanjaro.
Mchagga ni mtu pekee au...
Ukitaka kujua Moshi kuna watu njoo mwezi huu, mitaa inameremeta kama maua.
Huu utamaduni unaashiria wachaga ni kabila lenye upendo na mshikamano, na pesa ipo pia.
Kipindi nasoma same boys watu wa kanda ya ziwa walikuwa hawaendi makwao likizo wanajibana kwa watu, kuja kuchunguza ndo nikaambiwa...
Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.
Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17.
Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga?
–...
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?
Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.
Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia...
Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu?
Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka wapi hicho kitovu? Naumuhimu wakukichukua nini naomba mnijuze kwa maana kuwa na mazoea nawachagga...
Wakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako).
Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua.
Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.