Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini.
Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa!
Mtu atajifanya, atahubiri uzalendo kwa vile anaogpa rioting kutoka kwa walalahoi wasije wakawa class conscious wakawadhuru...
Wakuu,
Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendelee
===============================
Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa.
Tangazo hilo...
Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya kiasi cha Sh1.08 bilioni (Ksh53.8 milioni) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya ufisadi na utoaji zabuni ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh11 bilioni (Ksh588 milioni).
Akisoma...
Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini...
Suala la rushwa na ufisadi ni mambo linalosumbua duniani kote. Rushwa inatikisa katika mataifa mengi ulimwenguni yaliyoendelea na yasiyoendelea na ushahidi unaonyesha kuwa rushwa inaumiza watu maskini kupita kiasi.
Kwa mujibu wa makala iliyotolewa katika tovuti rasmi ya Serikali ya Afrika ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.