uefa champions league

  1. Camilo Cienfuegos

    Full Time: Real Madrid 3 - 1 Man City | UCL | Knock out stage | Estadio Santiago Bernabeu | 19.02.2025

    Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City. Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2. Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu? Mechi ni saa 5:00 usiku
  2. FK21

    WASHINDI WAJAO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

    Jamani hii ni FOOTBALL BALL , easy tu man
  3. Fene

    Nifahamisheni, mbona UEFA ya mwaka huu kama ligi kuu?

    Niaje wanamichezo Kwakweli kwa siku hizi nimepunguza mno kufuatilia mpira wa ulaya ila kwa mara chache naingiaga soccer 24 kuchungulia matokeo pale naposikia kuna game Ajabu nimeingia kuchungulia uefa mara kazaa kwenye standings naona msimamo kama wa ligi kuu sio groups tena Hii ipo vip wakuu...
  4. Manyanza

    UEFA Champions league mfumo mpya utakavyokuwa

    Huu ni mfumo mpya au format mpya ambao UEFA wameleta ili team ziweze kutana mapema zile nzuri kuongeza idadi ya match na team shiriki zikiongezeka team 4 zaidi toka team 32 mpaka 36. Uefa kupitia mfumo mpya ambao utakuwa ni league moja ya msimamo(Table standing) team zote 36,yani 1-36 on...
  5. Greatest Of All Time

    FT: Borussia Dortmund 0 - 2 Real Madrid | Uefa Champions League Final | Wembley Stadium | 01.06.2024

    Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London. Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
  6. pwilo

    Mbabe wa Ulaya kujulikana leo kwenye fainali ya UEFA

    Habari za weekend wadau wa soka na wapenzi wa kandanda barani Africa na Tanzania kwa ujumla nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania:– Leo majira ya saa 4–usiku watakutana muamba ya ulaya kwenye UEFA champions league ambapo Real Madrid atatoana jasho na Borussia Dortmund katika...
Back
Top Bottom