signal

  1. Julius Husseni

    No signal error 1 dish la azam

    Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu shida hii afu Leo kuna mechi kali tafadhali jinsi ya utatuzi
  2. M

    Nahitaji Digital satellite signal finder/meter

    Wakuu naombeni mnisaidie ni sehemu gani apa dar es salaam wanauza digital satellite signal finder/meter, na bei yake ni kiasi gani?
  3. GENTAMYCINE

    Nilipoiona tu 'Signal' moja iliyofanywa Kiutaalam Uwanjani, nilijua tu kinachofuata ni Goli la Jioooooooooooniiiiiiii....

    Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa? Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa...
  4. profesawaaganojipya

    Ikiwa D, naendesha gari, inawaka R na kupiga alarm ya reverse, P indiketa ya kulia inawaka signal

    Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu? Au waya zimegusana? Msaada tafadhali@jitumirabaminne..
  5. Ma mpishi

    Usaili udom

    Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane
  6. isajorsergio

    Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo

    Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo, kinacholenga kutuma na kupokea MobileCoin kama mfumo wa malipo ya faragha. Na ingizo la Signal Boost kama njia ya kuichangia aplikesheni ya Signal kwa kuwa haitumii/kuuza data na wala haiweki matangazo. Payments toka Signal...
  7. Sam Gidori

    Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

    Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake. Sera hizo mpya...
Back
Top Bottom