sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Pamepoa sana

    PAMEPOA SANA....... Hebu tujadili kidogo kwa kutumia mada ninayoileta Kwenu kwa Mfumo wa Swali. Je umewahi kukutana na Mnyama yeyote hatari iwe wa kufugwa au wa Mbugani? Kama jibu ni NDIO,uliwezaje kujinusuru? Kumbuka kutaja Jina la kiumbe husika iwe mkubwa au mdogo na mbinu uliyoitumia ili...
  2. Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

    Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana...
  3. All star comedy imepoa sana

    Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💭 ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano tena Kama huyu comedy si mkubali na sijawai mwelewa kabisa kanajikuta nyodo nyingi kisa kalio
  4. Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

    Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema. Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
  5. Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Wakuu… Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine. Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!! Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
  6. Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

    Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema. Washikaji...
  7. Jihadhari sana kabla hujamkopesha mtu, Kuna wengine kila anayemkopesha anakufa au anapata ugonjwa mbaya sana

    Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu. Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako. Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
  8. Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

    Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado, Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
  9. Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  10. T

    Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababìsha uwezekano mkubwa wa kuachana

    Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana. Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
  11. F

    Video: Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano mzuri sana wa namba CCM inavyopaswa kutendewa.

    Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
  12. Kwa sisi ambao huwa tunafanyia kazi ndani , jamii inatutafsiri tofauti sana

    Wakuu. Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani. Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza. Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online . So Mimi kwa siku naweza kuigiza wastani wa 100K sawa na mil 3 kwa mwezi. So Kutokana na jamii kuwa na mtazamo tofauti...
  13. Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  14. Ukweli katika uhalisia ni upi kuhusu mambo haya yaoneshwayo mara kwa mara kwenye movies?

    Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni kwamba kama msanii ni kioo cha jamii basi watuoneshayo kwenye muvi zao ni yale yale yaliyopo kwenye jamii...
  15. Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
  16. M

    Mtoto wa mwaka 1 anakohoa sana usiku

    Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
  17. R

    Ni kwanini Elon Musk haondoi video za pono kwenye huko twitter, hii kitu ina addiction kali sana kwa vijana

    Nahisi sikuhizi wadau wa haya mambo hawaingii kwenye zile sites zao, wananyooka moja kwa moja twitter MADHARA YAKE Porn inamaliza pesa, ni sembe ya kidijitali, mtu yupo radhi ale maandazi usiku ili anunue kifurushi cha elfu mbili Porn inachochea kujichua ukiwa mraibu wa kujichua kwa muda...
  18. Kazi ya udalali inalipa sana kiukweli siwezi kuiacha hii kazi

    Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali. Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema. Kiufupi njia ambazo natumia kufanya hii biashara ni kuwa na smartphone nzuri , laptop kali . Kisha naaanza kutangaza bidhaa mbalimbali...
  19. Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

    Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
  20. Kwanini ukiwasaidia watu ambao sio ndugu zako unabarikiwa sana ?.

    Habari . Mimi ni muumini mkubwa wa kutoa , Ila katika utoaji wangu huwa nikimsaidia mtu ambaye hatuna undugu wowote , baraka huwa zinarudia kwa kiwango kikubwa Sana. I need to understand kwa wataalamu wa mambo ya kiroho .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…