Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...