saddam

  1. Minjingu Jingu

    Namkumbuka Saddam Hussein na Muamar Ghadaf. Walikuwa Mashujaa kweli kweli

    Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda. Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana mpaka mwisho. Mpaka naye akapambana na kupambana akashinda. Assad, khaaaaah! Salaleeeeeh awezaje...
  2. Chilojnr

    Mpango wa Kummaliza Saddam Hussein

    Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo kupitia Chama cha Republic ambaye kwa wakati huo alikuwa akifanya kazi na Rais Bill Clinton...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    1990 Muhammad Ali saved the lives of 15 U.S hostages in Iraq by going there and negotiating with Saddam Hussein by himself

    Ignoring warnings from the government and his family. --- Of all the legendary wins in Muhammad Ali’s life, few are as little known as the one he pulled off exactly 25 years ago today: Defying the odds and the American government, Ali traveled to Iraq, where 15 Americans were being held hostage...
  4. LUKAMA

    Saddam Hussein: Siri ya toleo la Qur'an lililoandikwa kwa 'lita 24 za damu' ya rais wa zamani wa Iraq- Dunia hii ina mambo mengi sana

    Mwishoni mwa miaka ya 1990, Saddam Hussein alimwendea mpiga picha akiwa na ombi la kushangaza. Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibakia kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo 2003. Alitaka kutengeneza nakala ya Kitabu kitakatifu cha Qur'an kwa...
  5. Infantry Soldier

    Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi); Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana...
  6. Infantry Soldier

    Saddam Hussein, C.I.A & Italian Intelligence Service: Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!

    Saddam Hussein, C.I.A & Italian Military Intelligence Service (SISMI): Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger! UTANGULIZI SEHEMU YA KWANZA =========== Nyaraka za kughushi za mkataba wa kuuziana madini ya uranium huko chini Niger hapo...
  7. Infantry Soldier

    Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein

    2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein. Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iraq katika utawala wa Saddam Hussein na mtu wa upande wake wa kulia (right-hand...
  8. Corticopontine

    Marekani iliwashitaki wapi Osama Bin Laden, Saddam Hussein? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?

    Hawa wanajiita Wanademokrasia ndio waliwaua Sadam, Osama na Abubakar Waliwashitaki Mahakama gani? Kwanini Umoja wa Ulaya ulimuua Gadafi kama mnyama? Nani aliwawekea vikwazo?
  9. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Alianza Bush, alipohitaji kura za wananchi wake, aliwajia na hadithi za Saddam kuhusika na 9/11, akaunda zengwe la maana na mwishowe akaivamia Iraq ilia pate pa kuponea, kilichofuatia ni historia. Rais George W. Bush akilianzisha Staili hii akaja nayo kijana mtanashati, Obama...
Back
Top Bottom