rubani

Qalatak (Persian: قلاتك‎, also Romanized as Qalātak; also known as Rūbanī) is a village in Mashayekh Rural District, Doshman Ziari District, Mamasani County, Fars Province, Iran. At the 2006 census, its population was 349, in 88 families.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
  2. Serbia yaiangusha ndege isiyo na rubani mpakani mwa Kosovo

    Ndege hiyo ya UAV iliangushwa katika mji wa Raska, karibu na mkoa unaozozaniwa wa Kosovo. Wanajeshi wa anga wa Serbia wameidungua ndege ya kibiashara isiyo na rubani karibu na mpaka wa Kosovo, serikali ya Belgrade ilitangaza Jumatano. Tukio hilo linakuja siku moja baada ya Rais Aleksandar Vucic...
  3. MSD yakiri kushindwa kusambaza Dawa kwa ndege zisizo na rubani (Drones)

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai ametaja sababu za kusimama mradi huo ni kutoonesha tija na kuwa na ugumu kiutekelezaji. Amesema mpango huo si kipaumbele chao, wanachokifanya kwasasa ni kuhakikisha wana Dawa za kutosha, Wanatekeleza Matakwa ya Kikanuni na Kuimarisha Muundo wa utendaji...
  4. V

    Madereva wa treni wanalipwa kidogo ila wanabeba abiria kwa maelfu tofauti na rubani

    Nchi za magharibi madereva wa tren wanalipwa pesa nyingi/mshahara. Kwasababu ya majukumu yao makubwa Africa tatizo ni nini dereva anayebeba abiria maelefu kwanini alipwe kidogo kuliko rubani anayebeba watu wachache? Maruban wanabeba watu wasiozidi miatatu ila wanalipwa vizuri kwann madreva wa...
  5. Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

    Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano. Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo la kuwa makini na kutakiwa kubaki ndani kwa sababu za kiusalama. Huo ni mwendelezo wa vikosi vya...
  6. Taratibu Uzee na Nadhifu: Rubani wa ndege ya jet na rubani mkongwe wa airbus

    TARATIBU,UZEE NA NADHIFU;RUBANI WA NDEGE YA JET NA RUBANI MKONGWE WA AIRBUS. Leo 11:05hrs 17/07/2022 Ndege ya Airbus 380 ikiambaa juu ya bahari ya Atlantic,Ndege ya kivita Jet inatokea,rubani wa ndege ya kivita aina ya Jet anapunguza mwendo,anaambaa karibu kabisa na ndege ya Airbus,anachukua...
  7. Kenya Forums Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  8. M

    Video: Rubani wa Ethiopian airlines aliomba ruhusa kuizunguka mlima Kilimanjaro akapewa

    Mzuka wanajamvi! Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God. The majestic...
  9. Kwa hali ilivyo, ndoto yangu ya kuwa rubani itatimia kweli?

    Kwema wadau na wanajamvi wote humu? natanguliza salamu. Ni matamanio yangu kama mwanadamu tokea nikiwa mdogo kuingia kwenye hii career ya kurusha ndege. Nikasema anyway, nikimaliza chuo (nilimaliza mwaka jana B. Degree in Social Science), nikipata kazi nitadunduliza kidogo kidogo ndani ya hata...
  10. TANZIA Rubani aliyetorosha ndege baada ya kuvunjika EAC, Captain Narzis Mapunda afariki dunia

    Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda. ===== Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na Rais Magufuli kwa uzalendo wa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika iliyokuwa Jumuiya ya...
  11. Uganda Forums Uganda kutumia ndege zisizo na rubani kusafirisha ARVs kwa wakazi wa Visiwa vya Ziwa Victoria

    Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda. Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...
  12. Je, wajua kuwa hata form four wa Division 4 anaweza kuwa rubani?

    Zamani enzi za ujinga tulikuwa tukiaminishwa ukiwa kipanga then ukisoma PGM (GEOGRAPHY, PHYSICS & MATHEMATICS) ndio ticket pekee ya kuwa rubani. Vyuo vingi au karibu vyuo vyote vya urubani hawatoi degree ya urubani. Urubani huweza kusomewa na mtu yeyote ilimradi tu awe na akili timamu, idea...
  13. Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  14. J

    Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya. Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
  15. Sheria ya faragha kwa ndege zisizokuwa na rubani "DRONES"

    Tuangazie sheria za mataifa mbalimbali kuhusiana na 'Ndege zisizokuwa na rubani' maarufu DRONES. Teknolojia na matumzi ya ndege hizi inatazamiwa kupiga hatua mara mbili zaidi kwa miaka mitano ijayo, kutoka Trillioni 51.2 TZS (2020) Hadi Trillioni 102.3 TZS (2021). Matumzi makubwa yakiwa...
  16. Tukio la utata Kupotea kwa rubani wa Australia 1978

    Frederick Valentich ni rubani mwanafunzi aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa katika mazoezi kwenye ndege ijulikanayo kama Cessna 182L light aircraft mnamo 21 October 1978. Tukio lililo acha maswali mengi ambayo yamekosa majibu mpaka leo kwani Nadharia za mamlaka na maofisa wa...
  17. Jessica Cox, rubani mwanamke asiye na mikono

    Rubani huyu alizaliwa bila mikono kutokana na ‘Genetic defects’, haruhusu hali hiyo kumzuia kuishi maisha ya kukata tamaa. Yeye ndiye wa kwanza mwenye leseni ya urubani japo bila mikono Ana mkanda mweusi katika taekwondo na hufanya shughuli zingine kama mtu mwenye mikono yote. Hupiga piano na...
  18. Mke wa rubani wa ndege ya Ukraine iliyoanguka nchini Iran, alimuonya mumewe kutosafiri siku ile

    Kateryna Gaponenko ambaye ni mke wa rubani wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyoanguka muda mchache baada ya kuondoka kutoka uwanja wa ndege mjini Tehran amesema kuwa alimuonya mumewe asisafiri na anaamini ndege hiyo iliangushwa. Kateryna Gaponenko alikiambia kituo cha runinga cha Sky News kuwa...
  19. A

    Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

    Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi Aisee elimu hii jau sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…