Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele...
Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...