UKRAINE destroyed Vladimir Putin's "personal parade boat" the Russian leader uses to inspect naval fleets in a laser-guided bomb attack off Snake Island.
Ukraine claims to have destroyed Putin's 'parade boat'
Ukrainian forces have shared the incredible moment they claimed to take out Vladimir...
Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa
Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi wenzetu wa pale Tandika kaburi 1.
Putin alisema lengo lake la kuivamia Ukraine ni kui demilitarize na...
Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa Jumuiya yote kusherekea kumbu kumbu maalumu ya WW2.
Wamejitokeza wanawake ambao wamesema kwamba...
Umoja wa Ulaya (EU) unadhamiria kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi, na orodha ya sita ya vikwazo vinavyozingatiwa inamjumuisha Alina Kabaeva ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na Rais Vladimir Putin
Japokuwa Maisha binafsi ya Rais Putin yamekuwa yakilindwa kwa kiwango kikubwa, Alina...
Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin)
Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga
Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts,
wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amuomba radhi waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennet kwa matamshi aliyoyatoa waziri wake wa mambo ya Nje Sergei Lavrov kwamba Hitler alikua na damu ya kiyahudi.
Rais Putin pia amepongeza uhusiano mzuri Kati ya Urusi na Israel.
Waziri Mkuu wa Israel amekubali msamaha...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha.
Rais Putin amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye alikuwa akishawishi...
Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
Picha ya Maktaba, Rais Vladimir Putin (kulia) alipokutana na Papa Francis, Vatican mnamo Julai 4, 2019.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema kuwa aliomba kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin ili kumshawishi kumaliza vita dhidi ya Ukraine lakini hajapata majibu.
Papa...
Wazungu wana msemo wanasema they don't give a damn or (don't give a f.uck) kwa maana kwamba they don't care about anything or anyone. Hali hii imejitokeza kwa Rais Putin dhidi ya Papa wa Kanisa katoliki.
Papa anasema alimtuma mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa aombe mkutano wa Papa na Putin lakini...
Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba.
Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu...
Putin ana miaka 70, muda wa kutosha kuishi hapa Duniani.
Kimsingi amefika lifespan ya mwanadamu lakini Kila siku kutishia nuclear weapons.
Amefikisha hiyo miaka kwasababu walikuwepo viongozi waliilinda Dunia.
Sijui yeye amepagawa na pepo Gani.
Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!!
Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland
Russia’s state-owned energy...
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Anaitwa Alina Kabaeva ni mwanasiasa na mwanamichezo wa zamani wa Russia, mshindi wa medali wa Olympic, picha yenye maua alikuwa anampongeza.
Picha nyingine alikuwa anawaaga wanamichezo wa Russia waliokuwa wanaenda Olympic na picha ya mwisho mwanadada akiwa kazini, ana watoto wanne na Putin, ana...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake.
Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na kiongozi huyo amesema hakuwa na hofu ya kukutana na Putin iwapo hilo lingesababisha makubaliano ya...
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi,
Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine!
Afya yake imeshachokonolewa,
Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu, mtakubaliana ni Mimi kuwa, jamaa afya yake imeshachezewa!!
Muda utaongea!
Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa
Je, ni kwanini Putin anawataka wanajeshi wa Ukraine kusalender?
Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi.
Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.