putin

  1. Mathanzua

    Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  2. MK254

    Afisa wa ngazi ya juu Urusi, ambaye mndani wa Putin auawa kwa bomu Ukraine

    Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye gari lake....watakufa sana hawa. Russian colonel and one of Vladimir Putin’s ‘closest allies’ was...
  3. Narumu kwetu

    Mikhail Gorbachev kazikwa kiaibu sana ila yatamrudia Putin

    Huyu aliyekua. Rais wa Russia kipind hicho cha ukomunist ,alifanya mengi mazuri ,ila kuna mambo alichemka ,siyo mbaya kuna kufeli plan ,kufel plan siyo kwamba binadamu anapenda ,ila Putin kaonyesha utoto sana kutihudhuria msiba wa muasisi mkubwa nchini Russia . Ilanatabiri Putin ataipeleka...
  4. MK254

    Video: kwa huu mkumbatio wa meza, maskini Putin anatia huruma, anateseka jamaa

    Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
  5. BARD AI

    Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

    Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi. Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022...
  6. Kijakazi

    Putin hana unafiki, haendi mazishini, siyo kama wengine!

    Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha Rais wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa...
  7. MakinikiA

    Putin hatakuwepo katika mazishi ya raisi aliyemtangulia

    Soma hapa na jiulize kwa nini Ibaki kusema tu Putin yupo smart sana na mambo yake. Vladimir Putin Will Not Attend Mikhail Gorbachev Funeral: Kremlin "The farewell ceremony and funeral will take place on September 3 but unfortunately the president's work schedule will not allow him (to attend),"...
  8. S

    Bloomberg: Putin azikusanya China na India nchini Urusi kwa mazoezi ya kivita akiibeza Marekani

    Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1. Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
  9. BARD AI

    Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

    Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu. Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka...
  10. MK254

    Putin mpaka anatamani kutumia hawa wanajeshi wa Korea Kaskini licha ya njaa yao na unyonge

    Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says...
  11. BARD AI

    Urusi: Rais Putin aagiza wanajeshi wapya 137,000 kuajiriwa

    Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine. Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000...
  12. MK254

    Putin alalamikia USA kwa kusababisha vita vya Ukraine vichukue muda mrefu

    Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine. Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa. ============= Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
  13. MK254

    Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  14. system hacker

    China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  15. A

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    Mambo yanazidi kuwa magumu na kama nilivyokwisha kusema kwamba Putin kashapoteza Dira ya vita Duniani: Vita ya Ukraine, Putin amepoteza Dira, mpaka sasa haelewi afanyeje kumaliza vita aliyoianzisha. Kwa sasa Ukraine inazidi kupata nguvu ya hali ya juu tofauti na mwanzo kabisa, kwa sasa Ukraine...
  16. Gama

    Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

    Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa telegram katika chaneel ya SVR inayomilikuwa na Luteni Generali wa zamani katika vikosi vya ujasusi vya...
  17. EINSTEIN112

    PUTIN anavyowachanganya WEST hadi wanahisi ana "CLONE" yake 😅😅😅😅

    Vladimir Putin may have used a body double during his visit to Tehran, according to the head of Ukrainian military intelligence. The Russian leader looked awkward as he came down the steps of his flying Kremlin presidential plane, says Major-General Kyrylo Budanov. He added that Putin seemed...
  18. Zacht

    Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

    Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news , tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku...
  19. The Assassin

    Putin: Acheni kunywa Coca Cola, ni kemikali tupu, ni sumu

    Putin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali. Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu. Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi...
  20. MK254

    Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
Back
Top Bottom