Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox
Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya...
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Mods uzi usiunganishwe.
benz
bmw
carina
escudo
gx100
harrier
ist
kioo
landcruiser
magari
mark2
mazda
noah
pajero
picha
premio
raum
rav4
side mirror
spea
steelring
suzuki
taa
toyota
used
vitasa
vitz
voxy
wish
wishbone
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
benz
bmw
carina
escudo
gx100
harrier
ist
kioo
landcruiser
magari
mark2
mazda
noah
pajero
picha
premio
raum
rav4
side mirror
spea
steelring
suzuki
taa
toyota
used
vitasa
vitz
voxy
wish
wishbone
Habari wanajamvi,
Gari yangu Toyota premio (1.5L) imekuwa na changamoto kadhaa amabazo nashindwa kizipatia majawabu.
(i) Gari kukosa nguvu inapopanda mlima, hili tatizo lilianza miezi mitatu iliyopita siku moja nilinusurika ajali wakati nina overtake kwenye mlima nilishangaa gari hainipi ile...
Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini iwe haijawah kuguswa engine zaidi ya kubadilisha oil tu:
Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala...
Wakuu kwema?
Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo nilitaka kujua pia consumption yake ya mafuta highway iko vipi.
Siku ya Ijumaa niliweka full tank na...
Price/Bei 15.7mls
Cont:
Bmw 3 Series ECY
Year 2008
Cc 1990
Low Km 99000
Full Options✅
Sports & New Tyres
Clean Condition
0688591584
Navunja Na Gari yoyote°°
Location Dar es salaam
alphard
athlete
bmw
crown
dualis
inauzwa
ist
kali
nauza
new
nissan
nissan dualis
noah
premio
raum
sale
sana
series
shape
subaru
subaru forester
toyota
toyota wish
wish
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
Wakuu,
Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa pembeni kuna hizi options zimeandikwa kama inavyoonekana kwenye picha niliyoambatanisha hapa(Pamoja na...
Habari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M.
Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye...
Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu.
Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx?
Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.