postpaid

  1. EricMan

    Vodacom Postpaid Kuna Kautapeli

    Leo ni siku ya pili Internet yao inaandika "sign in to network" mara "network not available " toka jana wananambia suala lako linashughulikiwa ndan ya masaa 6. katika masaa 48 je kuna masaa 6 mangapi? Imagine unalipia 115k kwa mwezi alafu siku mbili huna internet huu si Wizi? Nikipata...
  2. lucky_boy

    Router za 5g postpaid ni mkenge au kuna faida?

    Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika, sasa nataka kupata neno kwa aliyebahatika kuzitumia. Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni...
  3. Optimistic_

    Tigo postpaid bundle

    Vigezo vya kupewa huduma 1. Nida ID au namba ya nida 2. Tin certificate au Tin namba 3. Email 4. Pesa ya security deposit (Pesa ya dhamana) mfano unataka kifurushi cha ef40 unalipa ef40 kama dhamana MUHIMU Dhamana hii haumpi mtu unailipia kwenda TIGO nakuelekeza jinsi ya kulipa alafu...
  4. MASSOUD AHMED

    Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

    Hili swala la Tigo Na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe kwasababu ni kama aina flani ya kum-blackmail mtu. Imagine unaunganishwa kwa kikundi na watu hata usiowajua then asipolipa mmoja wao nyote mnazuiwa kutumia laini kweli! Wasipoangalia mitandao ipo mingi watapoteza wafuasi...
  5. arbostar09

    Airtel Postpaid Service

    Natumia huduma ya postpaid ya Tigo kwa ajili ya Internet. Kuna anayefahamu kama Airtel wako na huduma hii na gharama zake?
  6. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
Back
Top Bottom