picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha za Mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku kwa wanaume.

    Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu. Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku. Hakika tutakula kwa jasho. Mathayo 6:6-9 "Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba. Baba yetu uliye mbinguni Jina lako Litukuzwe Ufalme...
  2. L

    Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

    Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
  3. Picha: Je, utakubali kufanyiwa hivi na Mwanamke wako?

  4. Picha: Unataka kuwa Mweupe kwa kujipiga kitaulo?

    Kama jibu ni ndio, basi huu ndio muonekano wako baada ya kujichubua.
  5. Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  6. Tupia picha ya mjengo wa chini uliyowahi kukuvutia

    Lengo ni kuona mitindo mbalimbali ya ujenzi wa nyumba za chini
  7. Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  8. Picha: Atasoma kweli huyu?

    Huyu Dogo atafaulu mitihani yake ya skonga kweli?
  9. Kwanini msichana akifikisha miaka 27 kama hajaolewa anapenda kujipiga picha na kujiweka kwenye mitandao?

    Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe na kujiamini, au njia ya kuonyesha maisha yake kwa marafiki na familia. Pia...
  10. Umemtambua yupi kwenye hii legendary picha

    Challenge kwenu wadau
  11. 📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  12. M

    Picha: Tanzania vs Marekani

    A Professor in Wisconsin was BRUTALLY ARRESTED for OPPOSING GENOCIDE!
  13. Mwanamke azuia watu kwenda chooni kwenye ndege

    Habari na picha....Sema huyu mama kafanana na mtu mmoja hivi🤣🤣🤣🤣🤣 KENYA AIRWAYS flight number #KQ613 headed to Nairobi from Mombasa aborted landing at JKIA at the last minute. The plane was rerouted back to Mombasa after a Kikuyu lady passenger blocked the on board toilet causing massive...
  14. Picha: Jembe liliokubalika hayati Magufuli ambalo Mafisadi na vibaraka wa Mbowe wanalichukia

  15. TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  16. Uzi maalum wa picha za round about na junction mbalimbali za mikoa

    Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
  17. Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  18. Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

    Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
  19. Tujikumbushe...Mohamed Shebe Mpiga Picha Aliyehifadhi Historia ya TANU na ya Mwalimu Nyerere na Mengineyo Yaliyokuwapo 1950s

    https://youtu.be/5Ien7R24MA0?si=GN5lEs68WWX1OLq6
  20. Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…