#BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC.
Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais...