Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini.
Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda, Jumamosi, Agosti 7.
Mturuki huyo alikuwa anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa West hii leo...