mpya

  1. H

    House4Rent Chumba Master na Sebule kinapangishwa Tabata Kimanga

    CHUMBA MASTER MPYAA πŸ’₯πŸ’₯ PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE MPYA . LOCATION : TABATA KIMANGA. DSM (A) Chumba Master ya Kibachela Mpyaa -- Kodi 100,000 miezi 6 (B) Chumba Master na Sebule -- Kodi 150,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti Tabata Kimanga dakika 12 kutembea hadi stendi kuu...
  2. Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

    Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14. Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
  3. Hivi ndiyo mnataka kusema kuwa Watanzania huu Wimbo mpya na Mtamu wa Twanga Pepeta uitwa Mmbea hamjausikia na Kuusifia?

    Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge. Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda. Shikamooni Twanga Pepeta.
  4. Katika mkoa wangu nilipo sioni tena barabara mpya zikiwekwa lami

    Nilimchukia magu pia nilimpenda kwa mazuri yake pia, kwa sasa mkoa nilipo zaidi naona wakirekebisha zile mbovu tu Ila mpya zinazoanza kujengwa Hanna lakini kipindi cha nyuma ukikatiza kilometer kadhaa unakutana na camp ya wakandarasi.
  5. Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi Rais Mpya wa Tanganyika

    Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana Watanganyika watampigia kura ya urais ili kulinda maslahi na rasilimali za Tanganyika,rejea mapambano ya Wakili...
  6. Kuelekea kilele cha simba day, mchezaji mpya kutambulishwa leo

  7. M

    Kipa mpya wa Simba

    Simba SC yamtangaza kipa wake mpya ambaye ni Moussa Camara akitoka Guinea katika clabu ya AC Horoya kipa huyo atakua anaidakia timu ya Simba SC kwanzia sasa.
  8. Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  9. Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

    πŸ“ πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea. Camara (25) raia wa Guinea πŸ‡¬πŸ‡³ mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo...
  10. LATRA Watangaza route mpya wafanya biashara ya usafiri changamkieni hii fursa

    Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini πŸ‘‡πŸ»
  11. M

    Man united kujenga uwanja mpya kwa euro Bilioni 2.4

    Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
  12. Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  13. Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

    "Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
  14. Deni la Taifa na ukoloni mpya: Namuunga mkono Rais Samia lakini si chawa

    Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi. Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na tafskuri ya mustakabali wa yale watanzania tunayotegemea miska ya mbeleni. Wazungu, waarabu si...
  15. N

    Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

  16. Vilabu vyetu vya Tanzania vinazidi kufeli kwendana na kasi ya soko la kuzinduwa jezi mpya za msimu husika

    Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
  17. Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

    Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified. Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
  18. Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali

    Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu.... Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
  19. Soma kwa Umakini: Katika jezi mpya, ni ama Simba imepatia sana au imekosea sana

    Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada hii. Kuna mawili, ni ama Simba imepatia sana katika hili jambo au imekosea mno. Simba imepatia sana...
  20. L

    Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…