Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSSSF), Rajabu Kinande na wenzake wanne.
Mbali na Kinande washtakiwa wengine ni Ashura Kapera (37), Farida Mbonaheri (34), Mohamed Miraji (48) na Msafiri Raha ambapo wanakabiliwa...