Mkazi wa kijiji cha Nyangomango Wilaya ya Geita, Baraka Shija (30) amefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza akishtakiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia ya kumuua mkewe, Grace Daudi kwa kumpiga na kitu kizito kichwani.
Shauri hilo namba 75 la mwaka 2023 limesikilizwa leo Jumatatu Oktoba...