Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...