Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo.
Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...