Habari wana JF,
Kumekuwa na tatizo kubwa Sana hasa kwenye wizara ya Mali Asili na utalii. Wizara ya Mali Asili na utalii inaonekana kama kila mtu yupo huru kuamua kuamka tu na kuweka tozo, gharama na malipo ambayo inaonekana hakuna wa kuhoji uhalali wake au umuhimu wake.
Kuachilia mbali kuwa...
Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF).
Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake.
Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu...
Mamlaka Nchini Romania zimekamata mali na pesa zenye thamani ya Tsh. Bilioni 9 kama sehemu ya uchunguzi wa uhalifu kuhusu madai ya biashara haramu ya binadamu ambayo ilisababisha kukamatwa kwa Andrew Tate.
Wakala wa Kitaifa wa Kusimamia Mali Zilizokamatwa amechukua mali 29 zinazohamishika...
Dunia ya leo ni tofauti sana na ile dunia ya miaka 1000 iliyopita dunia ya leo kadiri unavyoongeza watoto unagundua ndivyo unavyojiongezea mzigo wa malezi, matunzo na nguvu ya ulinzi ya watoto wako kiroho na kimwili, Dunia ya leo upebari ndio unaoitawala na kuiongoza dunia kuliko ule mfumo wa...
Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje?
Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote...
Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri.
Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati inatafsiri Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kuhusu umiliki wa mali baina ya wanandoa, katika kesi ya Rufaa namba 287 ya mwaka 2021 kati ya Bahati Kazuzu na Ruth Bura mbele ya Jaji Mugeta, imeeleza kwamba:
Mali yoyote ambayo mwanandoa mmoja ataipata, iwe kwa kuhongwa...
Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma.
Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49).
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
'....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.'
Bashiru - 12 Oct 2018
Germany To Withdraw Troops From Mali By May 2024
Germany's government has decided to start withdrawing its troops from Mali in mid-2023, with the pullout to be completed by May 2024, several sources said on Tuesday.
Berlin has deployed some 1,000 troops to Mali, most near the northern town of...
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.
Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.
Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.
Ni hayo tu...
Serikali ya kijeshi ya Mali Jumatatu ilipiga marufuku shughuli za mashirika yasiyo ya serikali yanayofadhiliwa au kuungwa mkono na Ufaransa, ikiwa ni pamoja na mashirika ya kibinadamu, huku kukiwa na mzozo unaozidi kuwa mbaya kati ya Paris na Bamako.
Waziri Mkuu wa muda wa taifa hilo la Afrika...
Hii kitu imezoeleka sana kwenye familia zetu lakini watu wengi wanashindwa kuiongelea, wanawake wamekosa huruma kabisa mwisho wa siku wanauwa bila kujuwa kuwa wanauwa, kuna familia moja huko kanda ya ziwa jamaa alienda kuowa huko dodoma kondoa kwa warangi.
Lakini jamaa alikuwa ameishapata...
Hakika kweli mabeberu wanatufanyia timing tu waafrika na watakaa tena kama walivyogawana makoloni safari hii watafanya minada kwa nchi za Afrika zikifikia madeni ya trillion zaidi ya 100.
Tuendele kukopa kulipa mishahara minono na magari ya kifahari !!
Habari wakuu,
Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.
Wanazuoni wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.