Ndugu zangu Watanzania,
Nimepata na kupokea Maswali Mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali mitaani kuniuliza juu ya sababu ya Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kuzikwa Makka ambako ndiko alikofia.
Nimeulizwa maswali haya siyo...
Ndugu zangu watanzania,
Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.
Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
Wakuu
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka.
Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
Baada ya yote aliyoyafanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na sasa yuko Makka.
Kama kuna Muumba kweli kabisa anakubaliana na hizi dhihaka nafikiria kuwa mpagani
=====
📍Makkah
🕌🕋🤲🏾
Anaandika Mhe, Mohamed Mchengerwa . Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za...
Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina
Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:
Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
"Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye...
Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum.
Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.