mafia island

  1. Hypersonic WMD

    Mringanisho wa Mafia Island Vs Maldive Island

    Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives. Ukumbwa Mafia -435 KM2 maldive -300 KM2 UCHUMI MALDIVES -6 Billion za kimarekan MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin) SHUGHULI ZA UCHUMI MAFIA-Utalii Maldives -Utalii Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat...
  2. Cathelin

    Naomba kupata taarifa kuhusu kisiwa cha Mafia

    Naomba kujua kiundani kisiwa Cha Mafia. Kuna mdogo wangu amepata kazi uko, naomba kujua Hali ya hewa ya hicho kisiwa, huduma za kijamii Kama hospitali na Shule, na Upatikanaji wa Banks, etc. Vipi gharama za maisha zikoje? Na je lazima mtu kupanda boti akiwa anaenda kazini? Je mitandao ya simu...
  3. chongoe

    Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

    Mkija kutembea mtatuingizia chochote kwenye wilaya yetu ukinunua chochote unakuwa umesaidia katika kukuza uchumi na pia hata ikiwa sio Mimi basi itakuwa kwa mwenye duka karibuni kutalii Mafia atakae na aje ukiwa MTU wa amani [
  4. S

    Historia ya kisiwa cha Mafia

    LOCATION:- Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani. Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu 1.Usafiri wa majahazi (kisiju) 2.Usafiri wa boti (nyamisati) 3.Usafiri wa ndege (JNIA) WAKAZI WAKE...
Back
Top Bottom