WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao.
Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...