Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi.
Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...