Kwema Wadau
Inatafutwa Ya Kununua
Land Lover Defender 110
Engine 200 tdi or 300 tdi (Diesel)
Year 2000 - 2002
Double Cab Would Be More Likely But Not Limited
Mnunuzi yupo Dar es Salaam
Budget TZS M 20 - M 25 Depending Na Condition Yake
Ni Kwa Matumizi ya kawaida tu hapa mjini na safari...
Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
Wakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini.
Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Kwenye jamii za watu hapakosi viongozi wapenda misifa wasiojali kuthamini bidii na akili za wasaidizi wao, nimewiwa kutoa tahadhari kwa Paul Makonda a.k.a DAB Kolomije, imekuwa kama utamaduni viongozi wenye hulka za misifa misifa kuwasahau wabunifu na wachakata mawazo mazuri yanayopata vibes...
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
(VIDEO ipo chini)
Tamasha la Land Rover 2024 ni tukio la kipekee linalofanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, katika viwanja vya Magereza Grounds, Kisongo, jijini Arusha. Tamasha hili litafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi Oktoba 14, 2024, na limeandaliwa na Mhe. Paul Makonda, likilenga...
Festival ni maadhimisho yanayoadhimishwa kila msimu na ambayo huwa yanaendana na utamaduni wa jamii fulani hasa yakiendana zaidi na dini, sanaa au mtindo wa maisha wa muda mrefu, mfano mzuri ni Diwali Festival, Halloween, Oktoberfest, Rio Carnival, Sauti za Busara n.k
Kinachofanyika huko...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani.
Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
Mambo vipi Wakuu!
Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza...
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na maji.
Kipaumbele vyetu Kwa sasa ni Festivals?
https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
MZEE SUGAL MOHAMED ALIVYOMTOROSHA MWALIMU NYERERE ASIKAMATWE NA MAKACHERO
na Guled Issa
Mzee Sugal Mohamed ni moja ya majina ya mashujaa yanayopaswa kuingia katika historia ya mashujaa waliojitolea katika kuwakinga viongozi wa harakati za uhuru wasidhalilishwe na wakoloni wakati wa kupigania...
Wakuu nakuja humu kuomba wataalam kunipa ushauri Nina Subaru Forester XS 2.5 ya 2009 nataka kuiuza nihamie Land rover Discovery 3 ya 2005. Je wenye uzoefu wa Discovery 3 Hali ipoje Kwa spea, mafundi?
Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza.
Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure...
Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani.
Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea.
Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.