Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...