Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya.
Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...