kubadili uraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wachezaji Bora hawawezi kubadili uraia ili kucheza Taifa Stars

    Acha na vigezo vingine kutoka FIFA Wachezaji wanaobadili uraia ni makapi yaliyotemwa Africa Magharibi ambao hata hawatambuliki kama wanafanya kazi ya kucheza mpira labda mataifa Yao wanajua ni vibarua tu Kwa mfano 1.Azizi ki - Burkina Faso Huyo hata umpe mbuga ya Serengeti, hawezi kukubali...
  2. N

    Kenya Forums Nataka uraia wa Kenya, natakiwa nifate njia zipi?

    Hivi nikitaka kubadilisha uraia nichukue uraia wa Kenya natakiwa nifate njia zipi? Najua humu kuna wajuzi wengi siwezi kukosa majibu. Nimeshaanza ku practice, leo nimenunua blacelet za Kenya mimi na familia yangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…