Kwanza ieleweke, kisasi ni haki!
Kwa namna Paul alivyotengwa na kunangwa, kutwezwa na hata kusilibiwa na mahasimu wake kipindi alipokuwa hana kazi ni wazi kama lipo kosa atalitenda ni kutolipa kisasi kwalo.
Paul, kwanza anapaswa aelewe watesi wake walianza kumtafutia namna ya kummaliza tena...