Kama kichwa cha Habari kisemavyo hapo Juu.
Kenya imejumuisha wanachi wenye asili tofauti tofauti wakiwemo wazungu, wa asia, na wabantu wenyewe wazawa wa kenya ambao jamii kubwa ndiyo ilikuwepo wakat Kenya ina kuwa huru, lakin miaka ya 1990's kuendelea taifa hiki limekumbwa na wimbi la watu...