Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama unachangamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita.
Nimeandaa uzi huu kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na hata wakike pia ili waweze kuepukana na hatima za huzuni, mathalani KATIBU ANAYETREND KWA WAKATI HUU...