Habari wana Jamiiforum,
Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development.
Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...