joseph warioba

  1. Waufukweni

    Jaji Warioba afunguka kasoro za Uchaguzi Serikali za Mitaa, atahadharisha vyombo vya usalama kujihusisha na Siasa

    Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa https://www.youtube.com/watch?v=DRuPxvMW3Fk Mchakato tulioumaliza sasa hivi (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa) yametokea yale yale ya...
  2. Gabeji

    Mzalendo namba moja, aliyebaki Tanzania ni mzee Jaji Joseph Warioba, Watanzania wanakutegemea sana. Uishi miaka mingi

    Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona. Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao, hawapo kimasilai zaidi ya inchi. Mzee wetu wewe ndio uliobaki ndani ya chaa cha CCM mwenyewe uthubutu...
  3. B

    Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi

    Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais. Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa...
  4. U

    Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

    ==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
  5. I

    Farhia Middle leo amekwama kumuondoa Jaji Warioba katika mada ya Muungano

    Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee...
  6. J

    Mzee Warioba: Wabunge huchaguliwa kwa misingi ya Ukabila na Bahasha

    Jaji Warioba amesema Siasa za Tanzania zinaendeshwa mikanda, kikabila na kidini na hili liko wazi kabisa Warioba amesema mfano rahisi ni Wabunge wa Bunge la JMT ambao huenda kugombea vijijini kwao ili wachaguliwe na watu wa makabila yao wakipozwa na " Bahasha" Source ITV habari
  7. Mohamed Said

    Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SALIM AHMED SALIM NA JOSEPH WARIOBA SAKATA LA OIC NA IAO 1993 Picha hiyo ya Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba niliwapiga mwaka wa 2017 nyumbani kwa Kleist Sykes, Kawe Beach siku ya mazishi yake baada ya kuwaomba ruhusa. Leo katika kupita Maktaba...
  8. Richard

    Mzee Ally Hassan Mwinyi pekee alijaribu, alivunja Baraza la Mawaziri la Muungano mwaka 1990 alipoona kuna shida mahala

    Tarehe 13 mwezi August mwaka 1990 magazeti yote ya Tanzania yalikuwa na vichwa vya habari vilivyohusu kujiuzulu kwa baraza la mawaziri jana yake yaani tarehe 12. Taarifa hizo zilisema kuwa katika kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na Rais mzee Ally Hassan Mwinyi aliwaambia mawaziri...
  9. BAK

    New constitution to be rejected?

    By Katare Mbashiru, Elisha Magolanga In Summary Taking into account irregularities during the election of constitutional assembly members...it is clear that the country won't get the Constitution that will take it to the next level. Dar es Salaam. Civil societies and political parties are...
Back
Top Bottom