Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club.
Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania.
Pia, Soma
Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana.
Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe, huu mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union na ule wa Costantine kule Algeria, performance ya mchezaji...
Nimepata taarifa kuwa kampuni ya kimataifa ya Umbro ni moja ya wazabuni walioomba tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi ya klabu ya Simba Sc
Zingine ni kampuni kutoka China, Sandaland Theonly One, na Vunja Bei
Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini.
Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
Kwenye suala la jezi, moja ya kitu cha kuzingatia unapoangalia uwezo wa jezi kuhimili joto siyo tu material iliyotumika kama baadhi ya watu wanavyodhani lakini pia rangi. Hii ni kwa sababu rangi zina uwezo tofauti wa kuhimili au kupitisha joto.
Rangi nyeupe ndiyo rangi ya kwanza ambayo ina...
Wazee naomba kufahamamu ni timu Gani inatoa jezi nzuri Kila msimu Kwa dunia nzima bila kuonyesha ushabiki hata kama huishabikii ila sema tu jamaa wanatia jezi Kali nasubiri majibu yenu wakuu
Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe.
Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni.
Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila...
Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake?
Hivi tumerogwa wapi
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano.
But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga
Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga...
Habari wadau
Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league..
Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania.
Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
Leo saa 6 mchana timu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Yanga SC itazindua jezi zake leo 20/11/2024 karibu katoka Uzi huu kupata update za champions league kits
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓🔰
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 - 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓🔰
Young Africans SC
𝐂𝐀𝐅𝐂𝐋 𝟐𝟎𝟐𝟒/𝟐𝟓 -...
Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu.
"Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.