Kauli mbiu ya rais Donald Trump wa Marekani ni kuifanya Marekani kuwa taifa kubwa kwa mara nyengine (Make America Great Again). Huu ni ukweli aliouona Trump tangu mwaka 2020 alipogombea na Joe Biden na ambao sasa ndio umezidi kudhihirika.
Kwa ujumla wake hiyo ni kauli ya kutapata kwa wazalendo...
Hii video niliitizama Oct 2023, kipindi Israel inajiandaa kufanya mashambulizi Gaza kama retaliation ya Oct 7.
Nikaipuuzia, baadae baada ya kusikia mauaji ya watu karibu 40K nikaitafuta kwenye chanzo youtube nikakuta imefutwa.
Kwa kile wanachosema watu hapa kwamba Hamas ni human shield, kwamba...
My Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.
Tanzania imepiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa linaloitaka Israel kumaliza uwepo wake "usio halali" katika eneo la Gaza.
Azimio hilo, lililopitishwa siku ya Jumatano...
Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na Netanyahu na genge lake.
Kwa nini nimemtaja Netanyau katika hili ? Kwa sababu yeye kama waziri mkuu wa...
Nimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana.
1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na kuendelea kuwa shikilia ni kuendelea kujiweka katika mazingira hatarishi ya kushambuliwa na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.